MAKANISA 10 YA KIKRISTO MAKUBWA DUNIANI?

Kanisa ni mahali ambapo Wakristo wanakutana kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu.Mara nyingi mfumo wa ujenzi unatofautiana kati ya kanisa na kanisa na kati ya dhehebu na dhehebu
Hapa nakuletea jumla ya makanisa 10 makubwa duniani kutoka kwenye madhehebu mbalimbali uya Kikristo

10. Sanctuary of Our Lady of Liche?, Poland
The Sanctuary of Our Lady ni kanisa kubwa kuliko yote nchini Polandna la 7 kwa ukubwa barani Ulaya .Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka  1994 mkapa  2004.

largest church in the world 10th Sanctuary of Our Lady of Lichen Poland Top 10 Largest Churches in The World
Hili ndio kanisa la Sanctuary of Our Lady of Liche


9. Basilica of Our Lady of Peace, Ivory Coast
Kanisa la Basilica of our Lady of Peace of Yamoussoukrola nchini Ivory Coast ,ni kanisa la  Roman Catholic na limetajwa kwenye kitabu cha  Guinness World Records kama kanisa kubwa kuliko yote duniani. Liko kwenye eneo la 30,000 square meters (322,917 sq ft),na linachukua idadi ya waumini  18,000 kwa wakati mmoja.Kanisa hili la  Basilica lilijengwa kati ya mwaka 1985 na  1989 na lilizinduliwa mwaka 1990 na  Pope John Paul II.
largest church in the world 9th Basilica of Our Lady of Peace Ivory Coast Top 10 Largest Churches in The World
Basilica of Our Lady of Peace, Ivory Coast

8. Basilica of the Sacred Heart, Belgium
Hili ni kanisa la nchini Beligium linaloitwa National Basilica of the Sacred Heart likiwa ni kanisa la Roman Catholiclikiwa kwenye Parish inayoitwa Brussels, Belgium. Mfalme King Leopold II aliweka jiwe la msingi mwaka 1905wakati wa siku yake ya kukumbuka siku ya uhuru wa nchi hiyo kutimiza miaka75.Ujenzi wake ulisimama baada ya vita ya pili ya dunia a baadaye kuendelea tena na ujenzi na kumalizika mwaka  1969.
largest church in the world 8th Basilica of the Sacred Heart Belgium Top 10 Largest Churches in The World
Basilica of the Sacred Heart Belgium
7. Milan Cathedral, Italy
Milan Cathedral (Duomo di Milano) nalo linasemekana ni kanisa kubwa kuliko yote duniani.Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka  1386 na kumalizika  1965. Lina uwezo wa kuchukua waumini 40,000 people. Ni mojawapo ya kanisa kubwa la  Gothic cathedral duniani na mojawapo ya kanisa maarufu barani Ulaya.
largest church in the world 7th Milan Cathedral Italy Top 10 Largest Churches in The World
Milan Cathedral, Italy

6. Church of the Most Holy Trinity, Portugal
Kanisa la Church of the Most Holy Trinity ni la nne kwa ukubwa kwa makanisa ya Katoliki na la sita kwa makanisa ya Kikristo duniani. Kanisa hili lilijengwa kati ya mwaka  2004 mpaka  2007 na likazinduliwa rasmi  October 12, 2007. Lina uwezo wa kuchukua waumini  9,000 kwa wakati .
largest church in the world 6th Church of the Most Holy Trinity Portugal Top 10 Largest Churches in The World
Church of the Most Holy Trinity, Portugal

5. Liverpool Cathedral, United Kingdom
Kanisa la  Cathedral Church of Christ la Liverpool, England ni la tano kwa ukubwa duniani.Kanis ahili liko kwenye eneo la  103,334 square feet (9600 square meters) na eneo kubwa la kanisa hili limejengwa kwa mawe. Kengele ya kanisa hili ni  kubwa kuliko zote duniani na imepewa jina Barttlett Bells.
largest church in the world 5th Liverpool Cathedral United Kingdom Top 10 Largest Churches in The World
Liverpool Cathedral, United Kingdom

4. Cathedral of Saint John the Divine, United States
Kanisa la Cathedral Church of Saint John the Divine lililoko kwenye mji wa New Yorklinasemekana ndilo kubwa kuliko yote kwa makanisa ya Anglikan na la nne kwa ukubwa kwa makanisa ya Kikristo duniani. .
largest church in the world 4th Cathedral of Saint John the Divine United States 1024x768 Top 10 Largest Churches in The World
Cathedral of Saint John the Divine, United States

3. Cathedral of Seville, Spain
Kanisa hili pia linajulikana kama  Catedral de Santa Maria de la Sede (Cathedral of Saint Mary of the See), Kanisa hili lilianza ujenzi wake mwaka  1402 na kuendelea mkapa kwenye karne ya 16.Liko kwenye eneo la sq m.11,520
largest church in the world 3rd cathedral of sevilla Top 10 Largest Churches in The World
Cathedral of Seville, Spain
\
2. Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida, Brazil
Kanisa hili la The new Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida lilijengwa mwaka 1955 lina uwezo wa kuchukua waumini  45,000 . Pope John Paul aliliita kanisa hili kama kanisa maalum nchini Brazil.
largest church in the world 2nd Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida Brazil Top 10 Largest Churches in The World
Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida, Brazil

1. St. Peter’s Basilica, Vatican City
Hili ni kanisa kubwa kuwahi kuwepo duniani.Liko nchini Italy kwenye mji wa Roma.Lina uwezo wa kuchukua waumini mpaka  60,000. Kanisa hili la Basilica lilianza kujengwa mwaka 1506 mkapa 1626 na Michelangelo mmojawapo wa wasanifu wakubwa wakati huo wa majengo.
largest church in the world 1st st peters basilica vatican city vatican Top 10 Largest Churches in The World
St peters basilica vatican city, Vatican

Comments

Popular Posts