TAHADHARI VIDEO ZA NGONO.......
 Elewa kwamba XVIDEOS ni video za ngono ambazo pia hujulikana kama Mikanda ya X, na XPICTURES ni picha
 za uchi zilizopigwa na watu mbalimbali kote ulimwenguni ambapo nyingi 
kat yazo hupigwa na wanawake. Sasa leo nataka kukujuza jambo hili, ya 
kuwa Amin usiamin ndugu yangu ukwel ni kwamba si video zote za ngono 
huchezwa na watu wa kawaida, zipo ambazo huchezwa na evil spirits kama 
vile ‘majini’ ambayo huchukua umbo la mtu na kuonekana kama mtu wa 
kawaida. Nazan wote tunajua ‘majini’ ni roho na roho hizo zinauwezo wa 
kujivika maumbo ama miili ya vitu mbalimbali ikiwemo miili ya wanyama au
 hata miili ya wanadamu, jambo ambalo huweza kufanywa pia na wachawi wa 
viwango vya juu. Kumbe bas unaweza kutazama video hizo au picha
 hizo za uchi ukizan unawatazama wanadamu wa kawaida kumbe ukawa 
unatazamana live na majini yaliyochukua shape za watu. Na kwa kutazama 
huko ndipo unakuwa umefungua mlango kwa roho hizo kukuingia ww na 
kukutumikisha kadri zipendavyo. Na roho hizo za kishetan zinapomwingia 
mtu humfanya kuwa mtumwa wa video hizo. Watu wengi wamekuwa wakitazama 
video hizo kwa kisingizio cha kujifunza style mbalimbali za ufanywaji wa
 tendo hilo! Je ni kweli nuru yaweza kujifunza kitu chema katkat ya 
giza? Au ni mkristu yupi kati yetu anayeweza kutuambia ni wapi Adamu na 
Eva walipojifunza ama kutazama ufanywaji wa tendo hilo hata wakawazaa 
Kain na Abeli? Ndio maana leo hii wapo wengine wenye ndoa zao lkn 
hawapati tena msisimko wa mwili kwa kuwatazama wake zao had pale 
watakapotizama video hizo au picha hizo, je huu 
sio utumwa? Lkn pia sote tunajua ya kuwa ukimtizama tu mwanamke kwa 
kumtaman tayar unakuwa umezini nae rohoni mwako, je waweza kwel kuikwepa
 dhambi hii pale unapotazama picha na video hizo
 chafu? Wengine wameishia kujifunza ufanywaji wa tendo hilo kinyume cha 
maumbile yan anal sex kisha kuwalazimisha wenzi wao kufanya kwa kupitia 
njia hiyo, je Mungu hakukataza mambo hayo? Wapo pia wafanyao homosexual 
(yan watu wa jinsia moja) au group sex (yan mwanaume m1 akiwa na 
wanawake zaid ya m1 au mwanamke m1 akiwa na wanaume zaid ya m1) nk. Je 
twaweza kujifunza kitu gan chema toka kwa watu hao wafanyao mambo hayo 
ya sodoma na gomora? Au uliwahi kuona video hata 1 kat ya hizo wachezaji
 wake wanaanza kwa sala ya kumwomba Mungu na kisha wakahitimisha japo 
hata kwa maombi mafup? Ajabu utumwa huo leo umewafanya watu wengine 
kuficha video hizo na picha hizo kwenye laptop 
zao, desktop, ipad au hata kwenye simu zao na kulock mafile hayo kwa 
kuyawekea password au majina ya kujua wao , lkn je unapofanya hvyo 
unakuwa unamficha nan hasa? Je unazan wakat unahide mafolder hayo Mungu 
huwa hakuon? Ni kwel unaweza kuwaficha wanadamu lkn je waweza pia 
kumficha hata Mungu wako? Neno la Mungu ktk Warumi 1:28-32 linasema watu
 wanayajua mambo yote maovu yawapasayo hukumu lkn pa1 na kuyajua kwao 
bado wanayafanya mambo hayo na wale wasiyoyafanya wanakubaliana na wale 
wayafanyayo. Mf pengine kwel ww hufanyi anal sex,group sex au hufanyi 
kabisa zinaa lkn unakubaliana na wafanyao zinaa kwa kuwatazama au hata 
kwa kuwahifadhi kwenye PC au simu yako, je hujui kwa kufanya hivyo 
unakuwa huna tofauti yeyote na wao? Pole sana ndugu yangu kama na ww u 
miongon mwa watu wengi wanaotumikishwa na roho hizo chafu. Chakufanya: 
We fanya toba ya kwel na umwombe Mungu msamaha huku ukikusudia kuacha, 
kisha futa na udelete kabisa video ama picha 
hizo mahali popote ulipozihifadhi then mwombe Mungu akusaidie kuikimbia 
zinaa and lastly tafuta watu wa maombezi wakuombee maombi ya deliverance
 ili ufunguliwe toka ktk vifungo hvyo ulivyofungwa na roho hizo bila ya 
ww kujua. Kumbuka “Aonywae mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika 
ghafla wala hatapona tena (Mithali 29:1)
Comments
Post a Comment