HUKUZALIWA ILI UISHI KWA MATESO DUNIA
Hukuzaliwa kwa bahati mbaya umekuja kwa kusudi la Mungu.
Yeremia 1:4
Kila mtu unayemuona ametumwa aje afanye kazi ya Mungu,
huwezi kufa mpaka umalize kazi ya Mungu.
Ndio maana kuna kazi zetu binafsi lkn pia kuna kazi ya
Mungu, tujitahidi tuifanye kazi ya Mungu.
1
nyakati 4:9
Jina ulilonalo linasadifu jinsi
ulivyo, ndio maana Mungu aliwabadili watumishi wake.Abram aliitwa Abraham, Saul
aliitwa Paul.n.k
KUNA VITU
VIWILIAMBAVYO MTU AKIKWA NAVYO LAZIMA AENDE.
( Usijizarau jinsi ulivyo.Mungu anaweza kukuinua jinsi
ulivyo.) hivi ni vitu mtu akiwa navyo anasonga, ndio maana shetani huviwahi
mapema.
1.
Akili
2.
Kibali
Akili ikiwa safi na kibali unakipata . Kwamfano ukiwa na
akili ya kuongoza watu, kwa akili hiyo watu wanaona unafaa kuwa kiongozi na
kutamani kukufanya kiongozi.
Mwanzo 41:39
Yusufu aliuzwa, lkn ndugu zake hawakujua km wanauza msaada,
kwa akili za kutafsiri ndoto yusufu zilimfanya apate kibali, atoke gerezani. Unaweza
ukawa huna akili za darasani lkn ukawa na akili za biashara.
Mithali 3:3-4
Daniel 5:14
( akili ndio mafanikio yako) mtu akiiba akili yako ameiba
kila kitu, huwezi kuendelea.
Usijizarau umezaliwa wapi kwakuwa kuna kitu Mungu alikupa
lkn watu wamekuwahi (wachawi) lkn Yesu kaja kwajili yako, sasa niwakati wako
kutumia akili zako zilizokuwa zimeibiwa kwakuwa Yesu anazirudisha. Utafanya mambo
makubwa ambayo hukuwahi kuyafanya kipindi ambacho akili zako zilikuwa
zikitumika na shetani.
Tena usijidharau kwakuwa unakitu ambacho wengine hawana.
Luka 2:52
Kila mtu ana akili/ nyota yake ambayo Mungu alimpa aweze
kufanikiwa, ndio maana tuko tofauti. Hata kama ni mapacha lkn alkali haziwezi
kuwa mapacha. Hata kama ni mapacha akili haziwezi kufanana kwakuwa nyinyi ni
mapacha.
Mathayo 2:1
Waganga wanachukua akili/nyota za watu na kuwapa watu ambao
wanahitaji kufanya mambo makubwa lkn hawana akili/nyota za kufanaya hivo.
Wengi wamemwaga damu /kafara ili kuchukua nyota au akili za
watu, damu ikimwaga inanena mema au mabaya juu ya maisha ya mtu. Lkn kwetu Damu
ya Yesu imemwagika kwa ajili yetu.
BARIKIWA SANA.
Comments
Post a Comment