SOMO: UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO MSEMAJI: MWL. C. MWAKASEGE Jangwani Dar es salaam 01-08 march 2015 SIKU YA NNE:
SOMO: UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO
MSEMAJI: MWL. C. MWAKASEGE
Jangwani Dar es salaam
01-08 march 2015
SIKU YA NNE:
Ufunuo 13:2,7
Yule joka akampa nguvu, kiti chake na uweza mwingi
Haya maneno hapa hayajaandikwa tu kiholela lakini yapo ktk mpangilio. Kinachoanza ni nguvu, baada ya hapo anakupa kiti ukipewa kiti, kiti kinakupa mamlaka.
Hivi viti vya enzi utaviona katika ngazi mbalimbali familia, ukoo, kabila, kanisa, taifa, nk
Warumi 8:31-39
Waefeso 2:6
Ufunuo 3:14,21
Hiyo mistari pamoja na mingine mingi kwenye biblia inaonesha kwamba kama wakristo Yesu anatupa kushinda. Na ametuketisha juu ya falme na mamlaka.
Lakini maisha ya wakristo wengi utaona kwamba ni kama wameshindwa.
Wengi wameshindwa kutoka hapo kwa sababu hawajui kuhusu viti vya enzi.
Hata hivi si kila vita inatoka kwenye kiti. Mi nataka nikuoneshe inayotoka kwenye viti.
Utaona kanisani wakikufundisha kuhusu nguvu lakini huoni wakikufundisha kuhusu viti. Inawezekana nisingekufundisha usingeona hili jambo.
Matayo 23:1,2,3
Yesu anasema kwamba fuateni wanachosema ila usifuate matendo yao. Kwa nini? Kwa maneno ni yakiti.
Inawezekana anayesimamia kiti akasema maneno ya kiti lakini asifuate maneno ya kiti
Ishara zinazoonesha kwamba unapambana na viti vya enzi:
1. Aliye katika nafasi ya kukupa haki yako anashindwa kukupa haki yako
Mathayo 27:17-26
Matendo 25:1-12
Matendo 26:30-32
2. Kulazimika kutii maagizo au mafundisho hata kama haukubaliani nayo
Ufunuo 2:12-15
Utaona hapa mafundisho ya uongo yalikuwa yanafundishwa kanisani. Na watu waliyashikilia kwa sababu kulikuwa na kiti cha shetani kanisani
3. Wakati kiongozi wako aliye juu yako kutumia nafasi ya uongozi alionao ili wale walio chini yake walazimike kufuata imani yake
Daniel 3:1-7
4. Kuwekewa kikao kwa shauri linaloweza kuamriwa na mtu mmoja
Matendo 6:7-15
Matendo 7:1
5. Ofisi kutumika kukunyang'anya kilicho halali yako kisheria
1 wafalme 21:1-29
Hapa ni kiti cha ahabu kilitumika kumnyang'anya Naboth shamba na kumuua
6. Vifo vya watu vinapotokea visivyo na majibu kisheria na kiuongozi
Mathayo 2:16, 17
Hizi ni baadhi ya ishara zinazoonesha kwamba vita unayopambana nayo inatoka kwenye viti vya enzi.
Zingine nitakueleza kesho.
Itaendelea.
Claus Asante
Goodmorning beloveds
Mwl aliishia hapo

Comments
Post a Comment