Uhusiano wa Viti vya enzi na mafanikio yako - Siku ya Pili ,Na Mwl Christpoher Mwakasege.
SEMINA ILIYO FANYIKA JANGWANI MWAKA 2015 MARCH.
Jinsi shetani anavyotumia viti vya enzi kukwamisha mafanikiao yako
Na Mwl Christpoher Mwakasege
SIKU YA PILI
* Ufunuo 13: 1, 2, 7 , 8 na 9..
1 Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.
2 Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi.
7 Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa.
8 Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
9 Mtu akiwa na sikio na asikie.
* Kiti cha enzi ni nafasi iliypo katika ulimwengu wa roho
* Mwenyekiti ana kiti katika ulimwengu wa roho kinachompa mamlaka ya kutoa maelekezo kwenye kikao
* Joka anasimama badala ya shetani, akampa nguvu zake, akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa lengo ni watu wapate kumwabudu.
*
* Yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi - Joka alitoa vitu 3. Joka alivikabidhi ili avitumie huyo aliyepewa kuwashinda watakatifu
* Kwenye kiingereza, NGUVU = power/might, kiti cha enzi = throne/his seat, Uwezo mwingi = great authority/great dominion.)
* Kwa lugha ya kawaida JOKA alitoa nguvu zake, utawala wake na uwezo mwingi.
* Mtakatifu = yule mtu aliyetengwa ili aweze kufanya kusudi la MUNGU, kama ni utakatifu wa mtu, Kama ni kitu basi ni kitu kile kilichotengwa ili MUNGU apate kukitumia kwa kusudi lake. mfano hata meza yaweza takaswa wakati haijui kutenda dhambi!
* Ni muhimu kufahamu hii, kwa sababu Mungu anapozungumzia utakatifu anazungumza na zaid ya aliyeokoka
* Si watakatifu wengi wanaosimamia kusudi la MUNGU, Waitwao ni wengi wateule wachache.
* Inawezekana mtu hajaokoka/si mristo lakini MUNGU amemuweka ili afanye kusudi lake, kwa tafsiri ya pana ya biblia ataitwa mtakatifu, yaani ametegwa afanye kusudi la Mungu. mfano, Mfalme Nebukadreza alitengwa ili afawafunge wana wa israel na atunze vitu vya hekalu, Alipokorofisha kwenye hiyo nafasi
* Shetani anapiga vita mtu yeyote ambaye ni mtakatifu yaani anayesimamia kusudi la MUNGU
* Biblia inasema ufalme wa Mungu si kula tu....bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu
* Jaribu kusimamia haki ofisini kwako halafu uone vita itakavyoinuka
* Unaweza kwenda ofisini ukakuta mtu asiye okoka akakusaidia kuliko aliyeokoka
* Akapewa uwezo yaani mamlaka/ kufany vita juu ya kila kabila, lugha... linganisha na kile Yesu alichofanya Ufunuo 5: 9 "ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa"
* Yesu amenunulia Mungu watu kutoka ktk kila lugha, kabila nao wanamiliki juu ya nchi, sura 13 inasema akapewa kufanya vita na kuwashinda...JOKA ambaye ni shetani akitaka kupamba na watakatifu (watu waliotengwa na kununuliwa na damu ya Yesu) ...
* Shetani anaye ataka aabudiwe na watu wale wale wa kila, lugha, kabila ili waende kwake, yaani wale ambao Yesu aliowatenga
* Wakati shetani anatafuta watu katika kila ...awape, Atatafuta watu ambao Yesu amewatenga.
* Kwenye ukoo. Anatafuta mtu anampa cheo na mamlaka na kiti chake ili kutafuta watu wa ukoo na kuwapiga na kuwashinda
* Kwenye Lugha shetani naye anatafuta watu wa kila lugha, Kwenye ulimwengu wa roho na wa kawaida wakifanikiwa kuu lugha yako wamekumaliza. mfano lugha ya kiebrania ilijaribu kuuwawa lakini ikiashindikana ikarudi.
* Lengo la Yesu kutaka kumpata mtu katika kabli ni ilia kuwa kuhani na mfalme, Kuhani = mazingira ya kiroho, Mfalme = kusimamia utawala wa mbingu duniani
* Unapooka unaitwa ili uwe mfalme na kuhani, unamiliki juu ya nchi ili YESU na Mungu w apate heshima juu ya nchi.... Na shetani nae anangánga kila mahali ili apate watu wa kusimamia kusudi lake. Na ndio maana anagánga'nia DINI ipate heshima
* Shetania anatoa kiti chake kama YESu, Maana Yesu anatupa kiti chake na mamlaka
* Tunapoenda kupamba na shetani tunaenda na nguvu na mamlaka hatuendi na kiti ili kupambana na shetani wakati yeye shetani anakuja na nguvu, mamlaka na kiti.
* Yeye ashindaye nitampa kuketi, Shetani anapambana na wateule ili wasikae kwnye kiti maana ukisha kaa hapo utakuwa tishio sana kwake.
* Ukiitambua nafasi ya kiti na kuketi una nafsi kubwa ya kushinda vita hii dhidi ya shetani
* Kura huonyesha idadi ya watu wanaokupenda ila si kila anayepigiwa kura anaka kwenye kiti, anayekaa kwenye kiti ndiye mwenye nguvu
* Usipotambua kwamba kuna kiti unapungukiwa na kitu cha muhimu sana
*
* Bibilia inatenganisha maeneo manne
*
* 1. Mtu aliyeketi juu ya kiti na kiti cha enzi alichokikalia, "1 Wafalme 2:12 Basi Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha Daudi baba yake; na ufalme wake ukawa imara sana.".hiki ni kiti cha babaye, "Mathayo 23:2 Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa" hiki ni kiti cha Musa ila aweza keti mtu mwingine!
* 2 Biblia inatenganisha maneno yanayozungumzwa na kiti na maneno ya mtu aliyeketi juu ya hicho kiti. ufunuo 21:3 na 5 - Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. mst 5: Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli. Angalia ïkisema" na neno "akasema"
* Musa alipokataa haruni aliambiwa atakaa hapo kwenye kiti, kuna maneno toka kwenye kiti
* Mtu aliyekaa kwenye kiiu kuna wakati anasema kiti kimeongea/kimeamua akimaanisha maneno asemayo si ya kwake..saa zote amejaribu kusema mimi ndio kiongozi lakini watu hawa tii lakini akishasema asa kiti kimeongea watu waote wanatii
* Kuna tofauti kwa maneno ambayo Mungu anakusememsha ukiwa kwenye kiti na Usipokuwa kwenye kiti
* Mungu anaweza kukusemesha ukiwa kwenye kiti, kutoka 25:17 na 22 Nawe fanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.""Nami nitaonana nawe hapo, na kuzungumza nawe pale nilipo juu ya kiti cha rehema, katikati ya hayo makerubi mawili yaliyo juu ya sanduku la ushuhuda, katika mambo yote nitakayokuagiza kwa ajili ya wana wa Israeli." kuna maneno ambayo Mungu alikuwa nayo lakini alihitaji kuyasema kutoka kwenye kiti
* Kuna maneno ya Mungu na sauti ya Mungu huwezi kuisikia bila ya kukaa kwenye kiti, kwa sababu maneno mengine ni siri. haya ndio yaliyomapata farao na nebukadreza wakashindwa kuelewa alivyosema nao, ili apatikane mtafsiri
* Farao alilitewa ujumbe na Mungu katika ndoto na akashindwa kuelewa kwa sababu ya uchawi (waganga), Mungu alizuia wasielewe, mpaka Yusphu mwenye roho ya miungu alipoleta tafsri...Farao akasema tupate wapi mtu kama huyu mwenye roho wa Mungu na kumkaidhi Yusuph kila kitu (mamlaka). Kwa hiyo mwenye kutafsiri ana mamlaka kuliko mwenye kusikia
*
* Kanisa likikaa kwenye nafasi yake, Mungu anahakikisha kila taifa lina watu wake ili kusimamaia kusudi lake, hivyo inahitajika wawepo watu watakao weza kutafsiri ,...Kuna maneno Mungu alimwambia Musa sitasema na wewe mkpaka kwenye kiti na Kuna mameno hatasema na kanisa mpk akiwa kwenye kiti.
* Kwenye kiti kuna siri za kiti ambazo haziruhusiwi kutoka
* Vitu vinavyoweza kutoka kwenye kiti cha enzi vinategemea kazi ya kiti. (kiti kinambadilisha mtu aliyeketi) waebranie 4:16- "Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji." , ufunuo 20:11 "Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana..
Wafuwakahukumiwa
katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu, sawasawa na matendo
yao" ni Yesu yule yule aliyekaa ktk kiti cha Rehema akitoa vitu vya
watu wanaohitaji msaada na Yesu yule yule aliyeketi kwenye kiti cha
Hukumu illi kuhukumu.
* Huwezi kwenda mtu aliyetoka kwenye madara akakupa vitu vya madarakani...kwa sababu cheo kuna vitu inato na kiti inatoa kwa sababu vile vitu vilikuwa vya kiti na si vya kwake.
* Mdo 12: 1- 24..Basi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao.
5. Basi Petro akalindwa gerezani, nalo kanisa likamwomba Mungu kwa juhudi kwa ajili yake.
22 Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.
23 Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango, akatokwa na roho.
24 Neno la Bwana likazidi na kuenea.
25 Na Barnaba na Sauli, walipokwisha kutimiza huduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemu, wakamchukua pamoja nao Yohana aitwaye Marko. huduma ipi, Barnaba na sauli walitumwa na wazee kutafuta chakula kwa ajili ya jamii, inamaa herode alizuia hata hii
* Baada ya herode kufa mambo mawili yalitokea 1. Neno la Bwana likazidi na kuenea 2. Huduma ya akina sauli ilikamilika
*
* SI kila mtu anafurahia unachofanaya, kuna mtu anaweza kaa kwenye madaraka kukutesa ili kuwafurahisha watu wanaokukasirikia.Kilicho mfunga Petro ni ilikuwafurahisha wayahudi..waombaji waliomba kwa ajili ya Herode bila kuombea kiti, baada ya herode kufa neno likaenea..Shida ilikuwa juu ya kiti alichokalia.
* Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa-- Baadhi ya watu wa kanisa---shetani anachagua watu ambao ni tishio kwa uhuru wake mahali ulipo,...
* Herode lilikuwa ni jina la cheo (Kiti), Yesu alipozaliwa kulikuwa na herode the great aliposikia Yesu amezaliwa, yeye aliuwa watu mpaka Herode alipokufa, Mungu akamwita Mtoto wake toka misri, Lakini Yusuphu aliposikia mtoto wake amechukua nafasi yaani Herode wa pili ndiye aliyekata kichwa cha Yohana, herode wa tatu alikata kichwa cha yakobo...herode wa nn ni mfalme agripa....Kiti cha herode kinahistori ya kupambana na wote wanausimamina kusudi la Mungu. Kushinda vita ya namna hii inahitaji kushughulika na kiti na si mtu!.
* Hii inamaanisha haijalishi nani atakaa kwenye kiti atapamba na kusudi la Mungu.
* Petro alipambana na kiti hadi graph yake ikapungua, Baada ya mdo 12: huduma ya Petro ilipungua hadi mdo 15 unapomwona ..walimtoa jela lakini hawakutoa jela ndani yake...Mtu anaweza kaa kwenye kuduma wewe unashangaa kwa nini hanyanyiki kumbe ndani yake ameumi. mfano: Kiti kilimfunga nebukadreza miaka 7 akiwa anakuala nyasi,
* Lazima watu wanaosimamia kusudi la Mungu kujua namna ya kuwaombea..
* Inawezekanaje tunaishi kama kanisa la Laodikia, hakuna aliye kwenye kiti!...
* Shetani atatafuta mtu iwe kweny ukoo, kabila...kuna vitu amabvyo shetani anawinda ili kubana watu...anatafuta kila mbinu ili ashinde
* Yakobo alipigwa akakatwa kanisa halikuomba, wako wapi waliopkuwa wakipata neno, wako wapi waliokuwa wanamtia moyo yakobo?.
* Wako wapi wanaoweza kuomba juu ya watu waliobeba vitu kwa ajili yao?.
*
* Kuna mahali unaweza keti shetani anajua kabisa hakuweza!. Kwa sababu ya kiti ulichokalia. Mfano mchukue rais wa marekani na guine, wote ni watu ila thamani yao ni kiti walichokalia. kwa hiyo ukikaa kwenye kiti kuna heshima unapata
* Waefeso 6:12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Ila Sisi tunapamba na pepo badala ya ufalme!. ---
* Ukikutana na shetani mpambanishe na YESU Ukikutana na ufalme wa shetani ukutanishe na ufalme wa mbinguni

Comments
Post a Comment