TAMBUA NA TUMIA FURSA ZILIZOMO KATIKA SADAKA YA AINA YA MBEGU Mwl;Christopher mwakasege Mwl;Christopher mwakasege,Venue:Diamond jubileee.Time:18/Jan/2015 A
: MAANA YA
FURSA 1/:Fursa ni nafasi inayojitokeza na kuonekna kuwa inafaa kwa ajili
yakufanya jambo 2/:Au ni nafasi inayojitokeza kwasababu ya jambo jingine kuwepo
liwe jambo zuri au liwe jambo baya 3:Mazingira mazuri yaliyojitokeza kwajil
yakufanya jambo 4/:Mlango uliofunguliwa ili kukupa nafasi yakupita au kupitisha
kitu. SUMU KUU ZINAZOUA FURSA 1:Kulalamika 2;Kunungunika Hesab 13:32,33 Hesab
14:7-9 Hesab 13:1-4 Yakobo 4:9 Unaponungunika unaleta kuhukumiwa na baadae
kunaleta upofu wa kutokuona 1Thes 4:13 Imani na matumaini vinaenda pamoja Kitu
cha kujua ni kwamba kuna fursa zitkzo jitikeza na unatakiwa kuztumia Wachache
sana wanafamu na wanamshukuru Mungu kwa kupata sadaka/Mbegu yakupeleka kwake
Fursa 1: Kumshukuru Mungu Kwamba unambegu ya kupanda 2kor 9:10-15 Sadaka hizi
hutumika kuhudumia huduma na mahitaji ya watakatifu Fursa 2 Nafasi ya Kuamua
aina ya mavuno na kiwango cha mavuno Haya maamuzi yanafanyika wakati unapanda
ka kuangalia mbegu unayopanda Galatia 6;7 2kor 9:6 Kiwango cha mavuno
kinaamuliwa na kiwango cha mbegu upandacho Mf; kupanda pesa za kitanzania
ukategemea kuvuna dola Fursa 3 Fursa zinazokuja na msimu wa kupanda Mwz 8:22
Mungu hukuruhusu kupanda kulingana na majira na misimu ya kiroho na kimwili
Luka 12:54-56 Ukiwa na mbegu unapata ruksa ya kutambua majira uliyopo na ishara
Mat 16:1-4 1Nyak 12:32 Pia unatambua na kufahamu cha kufanya katika majira hayo
Mat 24;36-42 Mungu anataka utambue na mizingira yakuwepo kwahiyo mbegu Kuna
namna yakutambua majira ya kupanda kimwil na kiroho Fursa 4: Kuchambua na
kuchagua aina ya udongo wa kupanda Mat 13:18-23 1.Udongo mgumu unatupa mbegu
shetani anakuja ichukua 2.mwamba 3.Miiba 4.Mzuri Mungu hakulazimishi mahali pa
kupanda ndo mana akakupa aina za udongo aumuzi wa wapi pa kupanda ni juu ya
mpandaji Maana ya aina ya udongo ina maana mbegu unayokua nayo mkononi inaunga
maisha yako,utoaji wako na huduma yako 2kor 9:10,11 Filip 4:15 Sadaaka aina ya
Mbegu upatikanaji wake ni mgumu sana (ndo mana watu wanalalama sana january ni
ngumu kwasababu ni mwezi wa kupanda) Mbegu ikishakua mkononi inadai udongo na
si tuu udongo pia inadai aina ya udongo na huo udongo uwe mzuri Na ikishakua
mikononi mwako inakupa fursa ya kuamua wapi kwa kupanda na mpandaji ni lazima
achague udongo mzuri Fursa 5 Kupata nafasi ya kutulia wakati Mungu anaifanyia
kazi mbegu yako uliyoipanda 1kor 3:6,7 Zab 46:10,11 Gal 6;9 Ebra 4;14, Ebr3;1-2
Fursa 6 Nafasi ya kutengeneza fikra au mtazamo unaokupa kujiandaa kwajili ya
maisha ya baadae Yoh 12:20-24 1kor 15:36-38 Ukiwa na mbegu mkonon mwako ni
lazma ikupe fursa ya kufikiri mtazamo wa maisha yako ya baadae Mbegu inabeba
mambo ma 3 1.Kile kitakachokuwa 2.Kitakavyokuwa 3.Kitakavyokuja Fursa 7. Hukupa
nafasi ya kufanya kazi pamoja na Mungu 1Kor 3:5-9 Mf:Nehemia Fursa 8. Nafasi ya
kuongezewa neema ya kuombewa na wale waliopokea sadaka yako 2kor 9:14
Comments
Post a Comment