UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO MWL:C.Mwakasege Date: 8/3/15 Venue:Jangwan Siku ya 8 SIKU YA MWISHO WA SEMINA HII!
UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO
MTOA MAADA NI MWL:C.Mwakasege
Date: 8/3/15
Venue:Jangwan
Siku ya 8
IMEANDIKWA NA MECKY LEO.
Ufun 13:2,7
Yule Joka alipewa kiti,nguvu,na mamlaka juu ya makundi makundi ya watu(Taifa,kabila,Jamii,nk)
SUMMARY
<>Shetani anapompa kiti mtu wake na kumpa Nguvu analenga watakatifu
Watakatifu ni mtu ambae ametemgwa kwa kusudi maalum la Mungu na tendo la kutengwa hufanya kwa kutumia Damu ya Yesu
Kwa kutakasa na kuweka wakfu
<>Mtu yeyote amaweza kusimama kwajil ya kusudi la Mungu na anaweza asiwe mkristo na huwa ufalme wa Mungu uko karibu nao na Wale wasioookoka Injili ya wokovu hugonga milangoni mwao
<>Neno mwkt ni Neno la kiroho kwanza kabla halijawa lakimwili
Efes 2:6
Ufunu 5;9,10
••Nafasi yeyote ya uongoz si kwa ajili ya kiongoz ni kwajil ya wale waliokuweka katka huo uongoz manufaaa binafsi huja baadae badala ya kufanya yale ya waliokuweka
••Kiti cha enzi ni nafasi iliyoko katka ulimwengu wa roho ili kutengeneza mfumo wa kiutawala na kupambana na watakatifu wote(shetani) au kutenda haki (kama mkaaji kawekwa na Mungu)
Hatua 4 zilizopo katka kujiandaa kukaaa
1.Hakikisha umeketi
Mat 23:1,2
2.Hakikisha unajifunika kwa damu ya Yesu(Ikulinde ww na wanaokuzunguka(mali,watu,ndugu na watu na kila eneo linalokuhusu))
3.Hakikisha unafanya toba kwa kile kiti pinzani
Ufun 2:12-17
4. Omba Mungu kwa Hukumu ya kiti Pinzani
Hukumu manake ni kutenga kwajil ya kuadhibu
Zab 89:14
Nguvu zinatoka katka MADHABAHU
Mamlaka yanatoka katka KITI
nguvu ni lazima isimamiwe ili itekelezeke
Ni kama vile mahakama inaposimamia maamuzi yake
Siku ya 8 (mwendelezo)
5.Sikia na fuata maelekezo binafsi unayotakiwa kufanya kwakila kiti cha enzi (Viti vya enzi pinzani)kivyake
Ufun 3:21,22
Ufun 13-2-10
Mfano:
Mat 2;13-15
Mapambano au vita ya viti vya enzi ni vita ya juu sana na haihitaji masihara
>€>Mungu ametupa silaha ya kiti cha enZi mana anajua kuna vita iko mbele yetu au anataka tuitumie kwa wakat wake
Maten 12:1-25
Ukiona malaika akiingia kazin ujue kiti kiko kazin kinapigana
Au ukiona Yesu mwenyewe ameshuka na kukutia Moyo katka mapambano uliyoyashuhudia ujue kiti cha Enzi kiko kazin ndo vita imeiva
Daniel 5:17-21
Aliezuliwa manake ni kwamba aliondolewa kweny kiti kwa nyakat 7 na Mungu akakifunika kila kiti
Nebukadreza alifanya kosa lakutengeneza sanamu akati Mungu ndie aliyeketi enzin na ndo mana akpewa adhabu kwa nyakat sita kwa kupitia kinywa cha Yeremia
Qn:Kama kiti cha Enzi kikiwa kanisa Unafanyaje?
Zab 88:44
Kwa njia ya maombi unaweza ukatupa chini kiti cha enzi
Na Mungu anaweza akaweka kiti lakin yule aliyekua aliyekaa ktk icho kiti ndio akawa anafanya mambo yakinyume ndo mana inabidi ufate maelezo ya Roho Mt
Mith 9:14
Ayub 29;7
Njia kuu ni Njia panda
Njia kuuu palikua na kiti na mahali pa juu mjini palikua na mji na hivi vitu vyote vina mamlaka kwa wapita njia
Mith 21:1
Anaposema mfalme anamanisha kiongoz yeyote aliyeko ngaZi yeyote
Ufun 13:10
Subira manake sio uvumilivu ni utulivu
Unapopigana katka hii vita ni lazma uwe mtulivu na kusikia kutoka kwa Bwana
Hongereni sana beloveds, tumepokea.
Comments
Post a Comment