Kazi ya Utakaso ya Roho Mtakatifu ndani yetu
Wakati Sheria sio sasa kiongozi wa maisha yetu ya Kikristo, ni vipi tuta weza kuishi maisha ya uungu? Ni zipi funguo za utakaso?
Moja wapo ya maswali muhimu watu huuliza wanapo sikia kuhusu uhuru kutoka kwa Sheria hiyo ndiyo uongoza watu ili waishi maisha mazuri ya Kikristo na ya kuzalisha mmoja anahitaji msingi mzuri wa maongozi au la?Hapa ndipo Neno hutupa majibu muhimu sana!
Kutembea katika Yeye
Kwa urahisi jisomea: “Hivyo basi, kama vile mlivyompokea KristoYesu kuwa Bwana, ENDELEENI KUKAA NDANI YAKE. Mwe na mizizi, mkiwa mmejengwa ndaniYake, mkiimarishwa katika imani kamamlivyofundishwa na kufurika kwa wingi washukrani. ANGALIENI MTU YE YOTE ASIWAFANYE NINYI MATEKA kwa elimu batili na madanganyo matupu yanayotegemea mapokeo ya wanadamu na mafundisho ya ulimwengu ambayo siyo ya Kristo. Maana ukamilifu wote wa uungu umo ndani ya Kristo katika umbile la mwili wa kibinadamu, nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye Yeye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka” (Wakol 2:6-10).
Hatuna njia moja tu ya wokovu na njia ingine ya utakaso.Jambo kuu la msingi hapa ni kutembea kwetu kupitia maisha iko na mtizamo kamili katika Yeye. Kristo katika hiyo njia kama Yeye ndiye njia ya pekee katika wokovu. Wakristo wakwanza waliitwa ILE NJIA. Hii njia ni Krsito Yesu. Yeye ndiye njia kufika kwa Baba, na Yeye ni barabara ambaye tunatembea juu yake!
Kwa usahihi sana: Tunatembea katika Yeye, tupo NDANI YAKE na Yeye yu ndani mwetu.
Kristo ni Uzima Wetu
Wakati Kristo ni uzima wetu, tunaweza weka mtembeo wetu kuwa kuimbe kipya, tukifanywa upya katika katika ufahamu katika Yeye aliyetuumba (Wakol 3:4- 10).Huu ndiwo msingi maonyo ya mtume Paulo kwa usahihi aliweka. Katika barua zake zote, Paulo ana taja ya kwamba ufungo wa mtembeo huu ni kuwa kiumbe kipya. Kiumbe kipya kina upendo wa Mungu umemiminwa moyoni mwake na kwa hivyo anatembea katika sheria ya Kristo, sheria ya upendo. Paulo anaeleza maana ya haya katika maisha ya kawaida, kwa mifano nyingi maalumu. Kama hii, tusi danganye, tusi fanye uasharti au kukasirika. Kwa hivyo, ni jambo la kukasirisha kwa Wakristo wengi wana kasirika kila wakati!
Mimi hupokea barua za hasira nyingi toka kwa watu waki sisitiza kuhusu kutii Sheria. Suluhu ya kuondoa wepesi wa hasira ni kwamba yafaa tuvue mwenedo ya zamani na kujivika utu mpya kama Waef 4:20-24 inavyo eleza. Iko katika muktadha Paulo anasema: “Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja.
Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika, wala msimpe ibilisi nafasi” (Waef 4:25 27).
Suluhu ni rahisi ni kuwa kiumbe kipya: nafsi mpya ina asili mpya.Suluhu ni rahisi tu ni kiumbe kipya :nafsi mpya ina asili mpya. Tunaishi maisha ambayo hawezekani bila Kristo ndani mwetu.
Shida inayo lengwa na Paulo hapa ni kwamba, watu Fulani Hawashiki wazo la kimsingi ya kwamba maisha mapya na utu mpya ndizo funguo kwa kupata maisha ya kweli. Badala yake wana chukuwa maonyo ya Paulo na kutengeza sheria mpya kutoka kwayo. Kwa kufanya hivyo mmoja asha poteza mtizamo wake kwa Kristo, msalaba, nafsi mpya na tunda la Roho.
Ili kwamba asisitize hili jambo: “Kwa kuwa mlikufa pamoja na Kristo, mkayaacha yale mafundisho ya msingi ya ulimwengu huu, kwa nini bado mnaishi kama
vile ninyi ni wa ulimwengu? KWA NINI MNAJITIA CHINI YA AMRI? “Msishike! Msionje! Msiguse?” (Wako 2:20-21)
Hitaji ya kwamba Wakristo hujisikia kwa amri zilizo wekwa, ina ingia ,ndani yake yenyewe, nakupotoka katika maisha katika Kristo. Ana taka tuishi kwa Yeye, tutembee katika Yeye.tutegemee Roho wa Mungu kila siku katika maisha na pia nyakati maalumu. Ata tuonyesha, tunahitaji, sisi tutafanya nini au tuseme nini. Ufunguo ni kuwa na ushirika na Roho Mtakatifu.
Iwapo tunaishi kwa Roho, hatutatimiliza matakwa ya mwili.
Nguvu za Msalaba
Kuna funguo rahisi lakini zenye nguvu katika utakaso. Nimemesha waonyesha ufungo mmoja ni kutembea katika Yeye.Umuhimu wa maisha ya Kristo ni Kifo na ufufuo Wake. Neno la MSALABA ni nguvu za Mungu. Kitu kibaya ni kwamba baadhi ya wahubiri na wanathelojia wanataka kupunguza umuhimu wa msalaba. Lakini tuna mtangaza Kristo aliye sulubishwa. Na angali ana zile alama toka msalabani!
Msalabani Yesu aliondoa dhambi zote, ugonjwa wote na hukumu yote.
Katika Msalaba, utu wakale ulisulubishwa na Yeye.Katika msalaba, utu wa kale ulisulubishwa na Yeye. Hii ndiyo sababu Paulo anafundisha utakaso wa matendo akitumia nguvu toka msalabani: “Kwa maana ninyi mlikufa, na uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu” (Wakol 3:3). Kwa hiyo, kiueni kabisa cho chote kilicho ndani yenu cha asili ya kidunia: Yaani, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya na kutamani, ambayo ndiyo ibada ya sanamu…” ( Wakol 3: 5).
“Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote, yaani: Hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu. Msiambiane uongo kwa MAANA MMEVUA KABISA UTU WENU WA KALE PAMOJA NA MATENDO YAKE NANYI MMEVAA UTU MPYA UNAOFANYWA UPYA…” (Wakol 3:8-10)
Je unaweza kuona jambo hili? Anahusisha maonyo yake kwa utu upya , kwa urahisi anaeleza maana yake katika matendo ya maisha. Kwa haya ,pia amesema ita fanya kazi kwa wale wanao zaliwa mara ya pili! Cha muhimu ni kuwa kiumbe kipya (6:15).
Kristo ni utakaso wetu
Ili kwamba mmoja anaweza kujivunia kiburi cha utu wake. Mungu amehakisha ya kwamba KRISTO ndiye njia itendayo kazi ya kipeke! Ijapokuwa, kiburi na kupuuza vina enea kutoka kwa baadhi ya Wakristo, ambao wacha shika haya “Kristo ndiye utakaso wetu” Wakati Wakristo wanapo zungumza juu ya utakatifu wanafanya katika hali kama ya Wafarisayo na waalimu wa Sheria. Mojawapo wa mbinu zao ni kujaribu kushika wewe na maneno yao. Lakini aina hiyo ya “utakaso” haina rehe ya Kristo, ila ni ya wale wenye dhambi wilio taka kumpiga kwa mawe.Utakaso sio hali au ujuzi , wala hali ya ukomavu katika matembezi ya Mkristo - utakaso ni MTU!Walakini, 1 Wakor 1:30-31 ni ufunuo wa thamana: “Ni kwa sababu ya yeye ndiposa mko katika Kristo Yesu, ambaye amefanyaki hekima kutoka kwa Mungu - ambaye ni haki, utakatifu na ukombozi. Kwa hivyo, jinsi imeandikwa: ‘Yeye ajivunaye na ajivune katika Bwana.’ “
Kwa sababu tu katika Kristo, Yeye ni utakaso! Utakaso sio hali au ujuzi, wala hatua ya ukomavu katika mtembeo wa Kikristo - Utakaso ni MTU! Siku tutakapo shika haya, ni siku mojawapo iliyo muhimu katika maisha yetu.
Swali ni kwamba: Ninafikiri hii lazima ionenekane katika maisha na tabia, Umri?
Jawabu ni: Kwa kweli, je hii inafanyikaje? Kwa KRISTO AKIUMBIKA NDANI MWETU! Yeye aliye utakaso wetu anaishi ndani mwetu, Kwa hivyo utakaso unaonenekana kupitia YEYE anaye umbika ndani mwetu, na HII ni hali ya upitilizo wa muda mrefu…
Utakaso unaonenekana kupitia YEYE akiumbika ndani mwetuUfunguo na siri ni “Kristo ndani yako, ni tumaini la utukufu” (Col 1:27).
Hali hii ni 1 Watheso 5:23-24 , ukitaja , roho , nafsi na mwili vyote vinachazwa na Uzima wa Kristo.
Kazi ua Neema katika Utakaso
Kwa hivyo utakaso ni kazi ya neema. NEEMA inafanyaa hii, pia! Na neema ni bure. Wema usio paswa kupata na tukio la furaha ya ghafula.HAPA KUNA UJUMBE UNAOTOA UTANAGAZO WA NEEMA KATIKA MTIZOMO ULIO KWELI na ambao wengi sio wepesi kusikia: “Kwa maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa. Nayo yatufundisha “kukataa” ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu wa sasa,” (Tito 2:11-12).
Neema hiyo hiyo inayo tuokoa,inafundisha sisi kuishi maisha ya kumcha Mungu katika ulimwengu huu wa sasa.Neema hiyo hiyo inayo tuokoa, inatufundisha sisi kuishi maisha ya kumcha Mungu katika ulimwengu wa sasa.
Hii inapinga wale wote wanao amini ya kwamba utangazo wa neema inaleta ulimwengu na maisha mbovumbovu. Kwa ukweli iliyo kinyume imeandikwa, neno yafaa liwe na mamlaka kuliko uamuzi na hofu yetu.
NEEMA INATIFUNDISHA SISI! Huyu ni mwalimu wa ajaba namna gani. Neema ina faulu mahala ambako “usimamizi wa Sheria” katika agano la kale haikuweza (Wag 3:24-25) Sheria ilileta majaribio tu na kuongeza dhambi, na wakati huu neema inaleta tunda la Roho katika maisha yetu.
Kilicho kuwa hakiwezekana katika Sheria , Mungu alifanya! (Soma Warumi 8:1-4)
Katika haya tuna guzia ufungo wa maisha matakatifu:
Roho Mtakatifu yua ishi ndani mwetu na kwa hivyo ni KAZI YA UTAKASO YA ROHO inayo zaliza uzima huu ndani mwetu.“Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu, ndugu mpendwao na Bwana, kwa sababu Mungu aliwachagua ninyi tangu mwanzo ili mwokolewe KWA KUTAKASWA NA ROHO na kwa kuiamini katika kweli.” (2 Wathese 2:13).
sio kazi ya utakaso kwa Sheria, ila ni ya RohoPetero anatumia msemo huu katika 1 Ptro 1:2: “Kwa kazi ya utakaso wa Roho.”
Lazima iwe ya kawaida kwetu sisi wote kwamba siyo kazi ya utakaso sio ya Sheria, ila ni ya Roho! Katika Agano Jipya hatuko katika hudumu wa andiko, lakini katika huduma wa Roho (2 Wakor 3:6-8).
ROHO amechukuwa ushukani juu ya kila aina ya utendaji! Roho ana shawishi kuhusu dhambi, upande mwingine Sheria haifanyi hivyo. Roho natupa kuzaliwa upya, Roho hutukuza Kristo na Roho hututia nguvu na kututakasa! TUNAISHI KATIKA AGANO LA ROHO, na sio katika agano la andiko. Tunatumika katika upya wa Roho na sio katika kale ya andiko. Hapa kuna KANUNI KUU YA UTAFAUTI!
Kazi ya utakaso ya Roho inafanya tunda la Roho kuonekana. Upendo wa Mungu una miminwa kwetu kwa Roho (Waru 6:5), na inaleta upenda,furaha na amani- tunda linalo kuja na maisha mapya.Yesu anatoa uzima; huu uzima unazalisha tunda. Haya yote hufanyika kwa Roho wa Bwana. Ni rahisi hivyo. Ni inayo tenda kazi na ya kilindi, na ina heshimu Kristo katika mambo yote.
TEMBEA KATIKA YEYE!
Comments
Post a Comment