USIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO MWL:C.Mwakasege Date: 6/3/15 Venue:Jangwan Siku ya SITA ( 6 )

USIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO

MWL:C.Mwakasege
Date: 6/3/15
Venue:Jangwan
Siku ya 6

Mambo Muhimu yakuyajua tunapozumgumzia juu ya kiti cha enzi

Ufunuo 13:2,7
<1>Shetani huwa anatumia kiti cha enzi kuwatawala watu na makundi yao

Mat 23:1,2
Shetani huwa anatumia mtu aidha katika kabila,taifa,lugha au kanisa nk na kumpa nguvu zake ili apigane na waatakatifu wote na kutengeneza mfumo ambao utafanya utendaji kazi wake uwe wa urahisi


<2>Kanisa linatakiwa kutumia kiti cha enzi cha kristo ili kushinda vita na shetani

Efeso 2:6
Efeso1:17-24
Efeso 6:10-12

Kanisa la efeso lisingeweza kufanikiwa kama lisingekaa katika kiti cha enzi na kristo Yesu

Ufunuo 5:9,10

<@>Kiti cha enzi na madhabahu vinaenda pamoja

Mungu alilisimisha kanisa la efeso na akalipa nguvu na kiti cha enzi na mamlaka na kutengeneza mfumo ambao utafanya kazi ya Mungu iende kwa urahis

<3>Pamoja na kiti cha enzi kuwepo ili kuwasaidia watu wake bado kuba uwezekano wa wale walio wake kushindwa kukaa katika kiti hicho

Ufunuo 3:21
Kanisa la waadokia lilishindwa kuketi kwenye kiti cha enzi na sio kwamba lilikataa kuketi,na kwakushindwa kwao kuketi kanisa lilikua likiishi chini ya viwango na shetani alikua anatumia kiti chake kuwashambulia

<4>unaketije kweny kiti cha enzi ulichopewa au unaketije kweny nafasi ambayo mungu ameweka katka ulimwengu wa Roho?

Answ:Unaketi kwa ishara ya imani ambayo inaonyesha umekubali mambo ma2 yafuatayo
1.Nafasi
2.Agano lililotengeneza iyo nafasi

Zab 89:3,4,20
Yeremia 33;20,21
Kol 1:16

Note; viti vinatambulika kwa majina(mf;kiti cha Musa,kiti cha daudi....),au vinatambulika kimajukumu(mf;kiti cha Hukumu,Kiti cha Rehema)

Musa alipotengenezewa kiti alikataa kwanza,Yeremia nae alipotengenezewa kiti alikataa kwanza,pia Ester alipotengenezewa kiti alikataa kwanza

Je unakubalije kiti cha enzi?

Ili ukubali kiti upate kuketi ni lazima uingie katka maombi ya kukubali kuonyesha kwamba umekubali

Ester 4:12-17

Ester aliwaambiwa akina mordekai waombe kabla haja sign ile nafasi yakupewa kiti

Ester 5:1
Ester alipovaa mavazi alionyesha tayari yuko katka ofic na alionyesha tayari kaket katka kiti cha enzi

<5>Utajuaje kama umeketi?
Ufun 3:21

Ishara ambazo zitakusaidia kujua kwamba umeketi

(A):Angalia kibali ulichonacho kutoka katka viongoz wa ngazi yako(ktk ulimwengu wa Roho ukipewa kiti kina eneo lake na ngazi yake ya kumiliki)

Ukipewa kiti na ukiket ni lazima upewe heshima na kibali kwa watu wanaokuzunguka au unaowaongoza,kinyume na hapo
ni kwamba umeket katka kiti ambacho haujakikubali katka ulimwengu wa Roho

Ester 5:1-2

Mf:Angalia vijana katka makundi yao ni nani mwenye mamlaka na ushawish,huyo huwavuta vijana wenzake wengi kuj upande wake

(B)Jinsi ambavyo Mungu anakupa kujua namna yakupigana na icho kiti kinachopingana na ww

Ester 2:..,(mordekai alikua akikaaa au akiketi katika lango..)

Mordekai alipata ufahamu na kujua hayo mambo na vita alivyokua akipambana navyo vinawinda kiti cha ester kwasab alikua amekaa kweny kiti

(C)Angalia utiiisho wa Mungu unaokuzunguka unao ambatana na sauti ya mamlaka unaoambatana na kuzaliwa kwa maadui ambao hukututarajia

Uko upako wa mtu anayekaa katka kiti  na kutumika mbele za Bwana

Kama umeshindwa kuketi kitu gani kimekushinda na kukufanya usiketi?

Ufun 3:21
Kama Yesu alishinda na yy anataka ushinde
Je alishinda katka nn na wapi?
Efeso 2:6

Mamlaka ya Yesu aliyokua nayo baada ya kufufuka ni ya tofauti na ni ya juu sana kuliko kipindi kile alichokua akiishi kabla hajafa

Yesu alipewa kuketi baada ya kushinda
Alishinda katka lipi?
Kuna mahali alisema ktk biblia
==Roho i radhi lakini mwili u dhaifu......(Vita ya kimwili)
==Roho yangu inahuzuni kiasi cha kufa.......(vita ya kiroho)

Ebr 12:2
Pole Neema, huwa inatokea

Comments

Popular Posts